Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wewe Diaz sio wa kupiga penati vileNyie mnaosema hiyo penati imepangwa mmewahi kucheza mpira wa mashindano?
Wewe Diaz sio wa kupiga penati vileNyie mnaosema hiyo penati imepangwa mmewahi kucheza mpira wa mashindano?
CCM imeharibu akili za Watanzania.Jamaa kacheza penaliti kwa maelekezo ionekane kakosea ili game ibalance
Acha ifungiwe ila haya mambo yakomeshweTatizo wangesusia,nchi ingefungiwa.
HapanaAu wamepanga kututuliza hawa
NIpo live, ila mnaongea pumbaJifunze kuwa mwelewa sio kila kitu kubisha aua haupo live
Mbona analia?Diaz mtu sana amekosea makusudi ili game ibalance hapendagi dhulma kabisa hiyu jamaa tangu mechi na Tanzania niliona
Hii alishawahi kuifanya Harry Kane