Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Mshenzi tu yule ...ego za kishenzi tu na DHARAU...Bado siamini kama Diaz alipiga penati kweli
Mshenzi tu yule ...ego za kishenzi tu na DHARAU...Bado siamini kama Diaz alipiga penati kweli
Ni faini tu. Wasingerudi uwanjani wangepata adhabu.Baada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Hakuna kitacho wapata refaree ndo atachukuliwa adhabu hata kufungiwaBaada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Wawafungie tuone ndio itadhibitisha Dunia ilichoona kua yule fala bilionea eti ni bilionea huku anaendeshwa kama kuku na waarabu, Yuko pale kwa ajili ya waarabu na timu za north Africa ambao waajiita wazungu na sio waafrika...🚮....Baada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Huyu refa Ndala afungiwe aiseeHakuna kitacho wapata refaree ndo atachukuliwa adhabu hata kufungiwa
Bajeti ya kupokea bendera ya CAF tayari imeshapitishwa😄😃😀Tanzania haitafika hata 5% ya maandalizi ya Morroco. Wanapanga kupiga hela tu za wizi
Utashangaa kiwanja kzr kitabaki kuwa kwa Mkapa, wakati ule uwanja n uwanja wa kipuuzi na wa 1800 hukoNa hapa ndipo kuna shida. Tunaenda kuaibika hiyo mwakani.
ndio maamuzi yaliowapa ubingwaBaada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Kufungiana maisha kwa makosa kama yale hizo ni adhabu za TFF.Baada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Kuna jamaa nimemuona hapo kwenye tv ana shape kama mshangazi
Kumbe yule mwamuzi ni bilionea?Wawafungie tuone ndio itadhibitisha Dunia ilichoona kua yule fala bilionea eti ni bilionea huku anaendeshwa kama kuku na waarabu, Yuko pale kwa ajili ya waarabu na timu za north Africa ambao waajiita wazungu na sio waafrika...🚮....
Wafungie tena hata kesho....*******