Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Kihalali kabisa, hii fainali ingekuwa Senegal vs Tanzania
Transfer au
90% ya makipa wote duniani hua wanaenda kushoto au kulia wakati wa penalti, n wachache mno hawatojirusha sana kuelekea pande hizo ili kutengeneza balance ya kubaki katikati ya goli ikiwa mpinzani akipiga penalty kama Ile.Bado siamini kama Diaz alipiga penati kweli
Motsepe ..Kumbe yule mwamuzi ni bilionea?
Kama tulivyoungana kudai haki kwa Taifa stars🤓Leo Machawa na wasio Machawa wameungana kushangilia Senegal 😂😂😂
Is it a coincidence?
Wapi kipenzi chenu?
Ule upigaji ni wa maridhianoMorocco wamefanya kosa la miaka yote. Penalty muhimu za maamuzi tena katika fainali mara nyingi wachezaji mastaa hukosa. Nakumbuka ya Roberto Bagio
Hakuna cha maridhiano pale. Morocco walikuwa na njaa sana ya ubingwa kamwe wasingefanya tukio hiloUle upigaji ni wa maridhiano
😂😂😂Kuna jamaa nimemuona hapo kwenye tv ana shape kama mshangazi
Sawa tuBaada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Nimependa kitu alichofanya kocha wa senegal,Toa timu nje, Uongozi wa Caf ni wa kijinga kweli kweliBaada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Chawa habari yakoThree minutes for what??? Soka la Afrika shida sana
Esperance walishawahi kugomea mechi kuna mchezaji alifungiwa?Baada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Hata ile ya kutishia kususa mechi ilikua mind game, na mbinu yao imefanya kazi. Mchezaji yoyote wa moroco angepewa ile penati lazima kuna kauhuruma kangemjia90% ya makipa wote duniani hua wanaenda kushoto au kulia wakati wa penalti, n wachache mno hawatojirusha sana kuelekea pande hizo ili kutengeneza balance ya kubaki katikati ya goli ikiwa mpinzani akipiga penalty kama Ile.
Sasa ili kuongeza utamu wa goli la penalti kwa kupiga katikati, Ndo mpinzani anaamua kufanya panenka badala ya kupiga kwa nguvu na ndicho kilichomkuta Diaz Leo dhidi ya master Mendy
Mendy alishawahi kudaka penalty YA Aguero kama Hii Kwenye EPL dhidi ya man City na Chelsea kushinda kwa 2-1
Sasa Diaz aliongeza mbwembwe kwenye dkk ambazo hazitaki kutafuta ustar Bali ushindi wa namna yoyote.
Watapewa tu adhabu. Hawawezi kufungiwa maisha. Miaka ya nyuma ivory coast wakishawahi kufanya kama kikichofanywa na senegal leo. Drogba aliwaongoza wenzake kususia mechi ilikua dhidi ya egypt kama sikosei. Wasingerudi kabisa uwanjani hapo ndipo wangekutana na ashabu kubwa sana. Mane ni proffesional player anajua ambacho wangekutana nacho ndio maana akawaambia wenzake warudi uwanjanjBaada ya kubeba ubingwa nini kitafuata kwa timu ya taifa ya Senegal ?
Kuna timu, wachezaji, kocha na referee watakutana na adhabu kubwa sana au hata kufungiwa maisha kujiacha kujihusisha na soka la Africa.
Ile ilikua penati halali kabisa. Labda tuseme refa angetumia busara maana ilikua penati soft sana harafu muda mbaya ukicheki game yenyewe fainaliNimependa kitu alichofanya kocha wa senegal,Toa timu nje, Uongozi wa Caf ni wa kijinga kweli kweli
Eti huruma...mmmoroko ambaye anasema yeye sio mwafrika...ana huruma Gani na wewe na kombe analiona lile palee..embu acheni porojoHata ile ya kutishia kususa mechi ilikua mind game, na mbinu yao imefanya kazi. Mchezaji yoyote wa moroco angepewa ile penati lazima kuna kauhuruma kangemjia