FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

43' Yanga 0-0 Kaizer
Vipi Skudu huko kuna lolote kafanya?

Skudu leo kacheza dakika zote hizo?

Kacheza dakika nyingi kuliko msimu mzima wa 2018-2019 aliocheza dakika 19

Anazidi kuongeza namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…