FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Na bado kuna akina Aucho, Azizi Kii, Pacome, Diarra, nk. Wako nje! This is Yanga bhana. πŸ’›πŸ’šπŸ’ͺ

Wangekuwa ndiyo wale wenzetu wengine, muda wangekuwa wanatukana tu matusi kwa nini kocha wao kamtoa Chama.
Kumbuka, at a time wachezaji wanaoruhusiwa uwanjani ni 11 tu. Sasa hapo ndipo utakapoona umuhimu wa mmoja dhidi ya mwingine, na utaungana na wanaopiga kelele fulani atoke, fulani aingie
 
Bado anahitajika clinical finisher
Mtu wa nafasi 3,goal moja
Natumai viongozi wanatafuta
 
Leo tunatangaza hali ya hatari Africa nzima, tunaweza kucheza na timu mbili viwanja tofauti kwa siku moja na muda mmoja.

Wale wapiga kelele salaam ziwafikie hizo.
Ila washabiki wa kuwagawa hamna, si umeona kulivyopwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…