computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Goli la ugenini Al Ahly kalipata kwake game imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OKW BOBAN SUNZU ubao unasemaje?Simba watabamizwa siyo chini ya goli tatu kwa mpigo [emoji23]
Pole mkuuNinalo network hapa kwa mkapa ni changamoto
Umemsemaje?Nimetoka kumsema Inonga muda si marefu, ona sasa
Lala hukoPiga haooo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan sisi al ahly hatukutoa nae sare hapaa kwenye AFL? mpira ndo kwanza umeanza, shida nn?Waliona Mabingwa Dar Young Africans Tulivyocheza Na Al Ahly Tukatoa Nae Sare Mkaona Al Ahly Mchumba.
Haya Mshapigwa Chakwanza Dakika Za Mapema Hivi
Hahahahhahaha tulia mtaniLala huko
Nionyeshe picha kama hii ya wachezaji wenu nitakubaliana na hiyo kauli yako.
Mauaji yameshaanza
al ahly wamekuja na kila kitu chao kasoro uwanja, huu wameukuta hapaNi kama uwanja unateleza hivi?
Usikate tamaaGame imeisha mapema sana hii, kwenye hizi hatua ni bora utoke 0-0 kuliko kuruhusu goli nyumbani.
IMEISHA HII.