FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Shabalala ana overlap sana bila kuangalia threat ya al ahly ktk flanks...Al ahly wanaona nafasi ya kushambulia kupitia weakness ya simba ktk upande wa kushoto
Inonga pressure ya game imeshamkuta, amepanick na mistake aliofanya itabidi wafanye namna ya kumtuliza else atafungisha tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…