United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
onana umo Ndani anahitajika kipind cha pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana maarifa ya kupata goli ,hamna kitu wanafanyaZimba hawapo serious kabisa
Saidoooo Kapombehigh balls hazina faida kwetu
Wee nae hebu kwendraa huko, mxxxieeewNgapi kwani ubao unasoma?
Nimekwambia Saidou wa kuangalia chini hawezi fungaHadi sasa simba wako vizuri. Kibu anacheza vizuri zaidi
🤣🤣😂😂😂😂😂 Doctor umetangulia kusema Yanga wamefukia vitu kwa pitch.
Kwani waarabu walikuja na mapipa!?Wanauliza yale mapipa wanawekaga nini? Tumetoa hadi kafara alafu tunaishia kupigwa kweli?