FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kelele na majigambo yalikuwa mengi, hatimaye umefika wakati wa mbivu na mbichi kujulikana.

Hapa nyumbani kipigo hakiwezi kuleta sifa nzuri kwa Taifa, jitahidini watani.

Mdakuzi hizi ndizo zilikuwa mechi zetu za kwenda b…
 
Timu za TANZANIA zimesha umaliza mwendo.
Kielelezo ni kuungua kwa mabasi yenye ushindanj mkali kama Simba na Yanga.
 
Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini, najua ni mechi ngumu, ila Mnyama Mkubwa mwituni anaenda kuwanyoa waarab kwa goli zaidi ya 2.
Watanzania wote leo tupo nyuma ya Simba katika kuhanikiza ushindi.

Kila la heri kwa Tanzania.
Kila la heri kwa Simba.
Nguvu Moja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…