Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu nyingi kuliko akiliNiliwaambia Toka Mwanzo kwamba wanatumia Nguvu bila maarifa na ukiona qanavyocheza wameishiwa Cha kufanya
Kalitoeni kwa winchiWaarabu wamepaki basi kmmk
Mabao mtapata usiku 🤣🤣🤣🤣🤣Chamaaa nae aache kuremba remba na hilo ball, watu tunataka mabao Leo, hizo chenga asubiri siku na utopoloo khaaaah.
Nyie kauokoteniWashaanza kupoteza muda sasa
Lkn haachi kuwasumbua
Tulia wewe! Hatutaki kelele za kuanza kuwalaumu wachezaji na Mwenyekiti wenu Mangungu.Duuuuh ni kuwa hawa wachezaji wetu hawana nguvu ya kufumua mashutiiiii? Aaaah inakeraaa sasa
Zipigeni ngwara Ili zipunguze kasiAisee, dakika zinakimbia sana