Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
We Gongowazi kesho tutakuwepo na msituchagulie silahaBado haijachoka,tukiwaambia Hamna timu ya ushindani mnaleta mambo ya GSM kuzamini timu sita NBC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Gongowazi kesho tutakuwepo na msituchagulie silahaBado haijachoka,tukiwaambia Hamna timu ya ushindani mnaleta mambo ya GSM kuzamini timu sita NBC
Anatoka Jaribu Tena anaingia Mangungu.Kuna sub zinafanyika hapa naomba mniambie nani na nani wanaingia na wanaotoka
Tumezidiwa.Simba hampo sirias kabisa kuna mahali pengine ni pa kujaribu au mmeshiba futari .
Mpo kizembe sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti eeeh? Bas sawaa.Wanamaanisha wataenda kufunga huko juu uarabuni sio hapa kwa mkapa
Tulizanaaa bhanaa wee.84'
Simba Sc 0 - 1 Al Ahly
Timu Yao Unacheza Kesho Hii Ya Leo Wanasema Hahiwahusu SanaZile jezi za OBUNTU - BOTHO walizonunua kama njugu hawajazivaa?
😂 jirani leo ni leo labda wafunge kamba za viatuJirani ntakuchapa 🤣🤣🤣
Kesho sio Mbali mkuu tutiane Moyo wote 🤣🤣Labda kona ya Kitanda
Nimetulia Vyema Kabisa 😂😂😂Tulizanaaa bhanaa wee.
AmeeeenHamna mfungaji hapa,
Acha niingie kwenye chumba cha maombi nimuweke mikononi mwa bwana Yanga💚💛
Sidhani kwa Uchezaji huu1-1 FT
Tumefeli.Timu imetota, kila mtu kajichokea.