FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Inonga pressure ya game imeshamkuta, amepanick na mistake aliofanya itabidi wafanye namna ya kumtuliza else atafungisha tena
Hajapaniki isipokuwa analazimika kutoka kwenye position yake kwenda kuziba makosa ya kapombe
 
Wings za Hawa AL AHLY ni hatari sana...
Sizani kama kapombe na Tshabalala watamudu..
 
Back
Top Bottom