Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Yeah, tatizo lipo kwa kapombe.Hajapaniki isipokuwa analazimika kutoka kwenye position yake kwenda kuziba makosa ya kapombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, tatizo lipo kwa kapombe.Hajapaniki isipokuwa analazimika kutoka kwenye position yake kwenda kuziba makosa ya kapombe
Manyau nyauNani
Nisamehe mkuu,nimekosea 😀Usiseme Goli Jingine Sema Magoli Mengine Manne
Kwani nyiee mmechukua kombe la nn? Mwaka makundi? Tena kwa ndondokelaa.Msijisahaulishe, mbona nyie mmeshachukua kombe lenu tayari la Mwakarobo? mechi haina umuhimu hii kwenu, relax...
😂😂😂😂Atageuka myahudi hivi pundemkuu relax kwanza naona nawe mapemaaaa una anza andika kiyunani
Bado mapema tuombe MunguAcha woga wew Simba ni lidude likubwaa
Muda bado leo Ahly anakufa nyingiMguu mrefu ka ukuni
Nitashiriki Vipi Kombe La Mbuzi Mwaka Jana Nilikuwa Shirikisho Mwaka Huu Naenda FinalMbona wee hukushiriki hilo la mbuzii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tulia banaGoooooooooooooooooooooool goooooooooooooooooooooool goooooooooooooooooooooool goooooooooooooooooooooool
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
GoooalUzuri tutakutana tena hapa kesho kuwaona hao waliojiandaa vizuri.
Acha akandwe tuu, alizidisha mdomo. Was was wangu ni kesho tu, sina raha kabisaIvan Stepanov njoo tushuhudie Al Ahly anamkanda mtu!