Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge hasikii mpaka atoke damuSimba tumekwama....
Tuna hali ngumu.
Mwakarobo aka mwakalopoMaana halisi ya kuimarisha jina la mwakarobo ndiyo hii
Labda watoke kwa mkapa baada ya mechi 😂Hawatoki makolo leo 🤣🤣🤣
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu onana anakimbia kama ana kinyesi matakoni vile [emoji23]
Game tumelala hii.
Young Africans 3 - 0 Mamelod[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakua winja winja mbonaa. Kaa kwa kutulia, kesho nayo ni siku.
ahahahahhahhhhahahhhhaha dah poleni sana ndugu zangu wazee wakina mwakalobo cup[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba mwamba anafanya nini na sabuni 🤣🤣🤣
Timu imechoka kweli kweli...Mtu anausahau mpira halafu anaenda yeye Golini leo maajabu
🤣🤣🤣 Bado hamjasemaRefaa aendee hata kwenye VAR, km anaona haamini alichokionaa. Lol
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Young Africans 3 - 0 Mamelod
Ndio mna timu kweli mpaka mnametegemea huyo fluteMiquisson kaonesha kitu