Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #341
Mpaka utopolo wafungwe ndio mechi itaishaHii mechii iishe, presha ni kubwa mnoo
Sina imani bado na team yanguKuwa mtulivu
Naona sasa imetulia. Bila shaka ni hali ya hewaTatizo lipo kwako peke yako
Aziza ni mchumba tu. Subiri mfungweAziz anachezewa mieleka
Si kwasababu amevaa kichupi sare ya wana mielekaAziz anachezewa mieleka
Siku zote hapo taifa network inasumbua.Mtandao wa Halotel uwanjani taifa ni wa ovyo
Vipi mkuu Debora Simba wamepata mali au bora Ngoma?Nadhan kib denis ni kama yule mnyama pimbi
Sio Halotel tuMtandao wa Halotel uwanjani taifa ni wa ovyo