Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Yanga tumamshukuru sana Kayoko bila yeye mweeeh tungeshalizwa.Nazani yanga kipindi cha pili toa dube we mzize au beleke toa max weka mkunde alafu wacheze mid lock simba wanaonekana kukamia game
Watamuua harafu ni mpumbavu ukiumizwa atafukuzwa na mpira unaisha.Kibu leo atakua kapigwa baridi....ni dhaifu
Kwanini?Yanga tumamshukuru sana Kayoko bila yeye mweeeh tungeshalizwa.
Umeona eeeeh...Haya mambo ya kubalance mchezo yanaua soka letu kama simba itafungwa leo basi man of the match ni kayoko
Wewe Utopolo tulia sindano iingie, najua hapo ulipo mavi yanagonga chupiSimba ni wake zetu kitambo
Mna kikosi kipana, mngechezesha wengine1) Azizi Ki
2) Diarra
3)Chama
4) Musonda
5) Dube
6) Job
7) Bacca
8) Abuya
9) Mudathir
10) Mzize
11) Aucho
Hawa wote wametoka kucheza mechi za CAF juzi na kusafiri kuja kucheza derby. Hawa wachezaji ndio first eleven ya Yanga na ndio Sub ya Yanga. Simba wanacheza dhidi ya wachezaji wenye fatigue
Mungu aepushie mbaliLeo kuna dalili ya red card hapa.