FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024



DAR ES SALAAM; Mabingwa wa Kombe la Muungano 2024, timu ya Simba wamewasili jijini Dar es Salaam wakiwa na kombe lao walilotwaa jana usiku baada ya kuifunga Azam FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali Uwanja wa New Amaan Complex.
-
#HabarileoUPDATES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…