FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

Huwa tunaliangalia tu huku tukiruka kimataifa zaidi. NBCPL haina mshiko kama wa CAFCL, tumepiga hela ndefu sana huko kwa muda mrefu mrefu. Tuna utajiri wa kutosha kuliko nyie manaochukua ligi ya NBCPL na bado mnabaki kuwa akina pangu pakavu tia mchuzi 😁
Utafikaje CAFCL Bila Kuchukua NBCPL?
 
Huwa tunaliangalia tu huku tukiruka kimataifa zaidi. NBCPL haina mshiko kama wa CAFCL, tumepiga hela ndefu sana huko kwa muda mrefu mrefu. Tuna utajiri wa kutosha kuliko nyie manaochukua ligi ya NBCPL na bado mnabaki kuwa akina pangu pakavu tia mchuzi [emoji16]
Kazi ya uchawa unaitendea haki Kisugu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Utafikaje CAFCL Bila Kuchukua NBCPL?
Hapo ndipo mashabiki wasiojua kambumbu (hasa kina utopwinyo) wamnapopotezwa.

Simba haikutwaa ubingwa wa NBCPL Ila ilishiriki CAFCL ikatinga hadi robo fainali.

Bado huelewi kwa nini Simba haiwezi kuwa sawa na utopian amphibian kimataifa ?

Endeleeni kutamba na huo ubingwa wa NBCPL ilhali hamjaifikia Simba hata 1/8 kwa ubora wa kimataifa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mashabiiki jamanii, woiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mashabiiki jamanii, woiiiiih
Símba imebeba ubingwa wa pili mwaka huu, halafu anatokea mbumbumbu mmoja anaanza kumlaumu Mangungu na Try again, wewe huoni hawa hamnazo?

Yanga mpaka dakika hii hajashinda ubingwa wowote wapo kimya wana raha tele, kwa nini kila siku asakamwe Mangungu na Try Again wakati timu inafanya vizuri inaleta makombe tu?

Mitano tena kwa Mangungu.
 
Nasikia Simba aliomba mashindano yaanzie nusu final nje ya hapo hashiriki
 
Hapo ndipo mashabiki wasiojua kambumbu (hasa kina utopwinyo) wamnapopotezwa.

Simba haikutwaa ubingwa wa NBCPL Ila ilishiriki CAFCL ikatinga hadi robo fainali.

Bado huelewi kwa nini Simba haiwezi kuwa sawa na utopian amphibian kimataifa ?

Endeleeni kutamba na huo ubingwa wa NBCPL ilhali hamjaifikia Simba hata 1/8 kwa ubora wa kimataifa.
Sawa Mkuu Ngoja Tuone Hiyo Nafasi Ya Tatu Itakupeleka Wapi.
 
Símba imebeba ubingwa wa pili mwaka huu, halafu anatokea mbumbumbu mmoja anaanza kumlaumu Mangungu na Try again, wewe huoni hawa hamnazo?

Yanga mpaka dakika hii hajashinda ubingwa wowote wapo kimya wana raha tele, kwa nini kila siku asakamwe Mangungu na Try Again wakati timu inafanya vizuri inaleta makombe tu?

Mitano tena kwa Mangungu.
Poleee kwa maumivuu!!! Kunywa maji mengi, afu relaaaaxx
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba akikosa nyama hata Ice cream atakula....
Simba nguvu moja
 
Back
Top Bottom