Wote hawajui mechi kutulia ni ngumuMechi bado haijatulia
Tushangamshie genge bibie kama kawaida yako[emoji119]Kuna wengine hawapo uwanjani wala kwwnye tv so hpa ndo pakupatia taarifa
utasubiri sanaSema leo rahaaaa sanaaa tunampiga mtu harafu tunakula tunashiba ili tuje tucheke watu wanavyobanduliwa sudan[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
..🤔🤔🤔..Kabisa..huwezi kuanzisha live update za timu mbili pinzani kwa wakati mmoja..hii ni zaidi ya kutoa live update ni lazima iende na Mapenzi ya timu.
Hapo sawa mkuu, nkadhani umetekwa 😂Nipo Mkuu Kambi ya Fisi pamoja sana Nguvu Moja [emoji881]
Anaachaje kujua alikubutua kama navyo kubutuaga
Mchezaji simuelewagi huyoSqkhooo anakwenda sakho
Alitumia ndumba huyo tunamjua mpira wake halisiSimba ile boli la genini kule Angola bado..
Ile kasi na commitment