FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

kishindo kiko wap, namungo alimpiga nyingi sana huyo

jana mamelod katimba kwa goli 15 wewe nne unaita kishindo kweli kolo n kolowizad
namungo alishinda huenda team ilikuwa mbovu lkn sasa hivi imesajili, hata yanga ilikuwa mbovu lkn imesajili,

kipindi kili match zote zilichezwa hapa kwa sababu ya covid.
 
Tumecheza tumepata tulichokipata ila ukweli ni kwamba Simba tumecheza chini ya kiwango leo ..kwa mpira huu hatutafika mbali kwenye haya mashindano...
 
Ilikua tumeshakipata tulichokua tunakitafuta

Ulitaka timu ichezeje?
 
Kwani ulikuwa unacheza na Timu mtaani? Au De Agosto walikuwa hawataki nao ushindi siyo..! Mbona bhah bhah haziwaishi nyie..!

Hii ni Klabu Bingwa Afrika na hapa kinachoangaliwa ni matokeo ya jumla ni sawa tu kuwa umefunga kwako 3-1 na umeshinda ugenini 1-0 kwa Aggregate 4-1

Nyie wengine kuna kitu kinawasumbua kwenye vichwa nyenu tunapoteza tu muda kuwajibu yaani.
 
Tumecheza tumepata tulichokipata ila ukweli ni kwamba Simba tumecheza chini ya kiwango leo ..kwa mpira huu hatutafika mbali kwenye haya mashindano...
Ndivyo Mashindano haya yanavyotaka ndugu,...!

Utopolo baada ya kupata moja Kwa Mkapa, wakaanza kutafuta Lingine kuja Kutaamaki Moto wa ajabu unapelekwa kwa mdaka mishale...!

Bora Wangelilinda lile moja..!
 
Tumecheza tumepata tulichokipata ila ukweli ni kwamba Simba tumecheza chini ya kiwango leo ..kwa mpira huu hatutafika mbali kwenye haya mashindano...
Mlianza kusema tunaishia chekechea, sasa tunaenda makundi bado usemi haujabadilika tu..... mpira ni malengo.
 
Ilikua tumeshakipata tulichokua tunakitafuta

Ulitaka timu ichezeje?
Team inatakiwa icheze jihad ionyeshe njaa hadi team zinuine ziogope...speed yetu ipo chini nahofia sana tukipangiwa na team zinazokimbiza watatudhalilisha..
 
Back
Top Bottom