FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Ni umri wako tu unaokufanya usijue tofauti kati ya Bonanza na CCL Group stages
huna unacho jua bosi ushindi wa simba 4–1 kwa al hilal ilikuwa ufunguzi wa simba super cup
 
90+3' Anaingia Mkude na Nyoni na wametoka Israel na Phiri upande wa Simba SC

Inapigwa moja moja sasa na Simba SC, Chama, Gadiel, kwake Kibu, Kyombo....ni sekunde zimesali kutinga makundi ya Mabingwa Afrika

Mpira upo upande wa Simba kulee refa naangalia saa yake...!

Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila

FT: Simba SC 1-0 De Agosto

Aggregate 4-1 Simba anatinga hatuna ya makundi ya Mabingwa Afrika

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana

.... Ghazwat..
 
Back
Top Bottom