FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

hahahaha
Wewe huwezi jua mambo ya kimataifa. Wakati tunamtandika Al Hilal 4-1 Utokolo walikuwa wanacheza na IHEFU
hahahaha kumbe hata ujui ilikuwa bonanza mlilo andaa basi nikuache mkuu.
 
77' De Agosto wanafanya mabadiliko huku Simba SC wakimtoa Okrah na ameingia Kyombo

Simba SC 1-0 De Agosto
 
79' Hussein ametoka na ameingia Gadiel upande wa Simba SC

Mpira upo upande wa De Agosto
 
Yah kwa timu yake ila kwetu leo wote wako bien yani wako vzr mnooo sema leo di agosto wanalinda goli lao mnooo
Wanajua wakifanya masihara watafungwa mengi Sana kuzidi ya kule kwao[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
Back
Top Bottom