ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Tutawapiga kwao FNB Stadium, wao sio malaika.Ila goal Moja Halitoshi Kwa Hawa Jamaa
Basi mmeshinda 10 - 0Ila goal Moja Halitoshi Kwa Hawa Jamaa
Haaaa wanaweza kuingia mitiniKwahyo south africa mtaenda mikia!?!?
Tujipange aisee maana kule bondeni shughuli sio rahisi
Hamchoki tuSio mbaya uwezo wetu umeishia hapo, sioni namna tukienda kushinda bondeni
Next Sundaytukutane kwa Madibaaaa kule inabidi wachezaji wavuje na damu ikibidi
Mkuu tunakwenda kuishangaza Africa,bondeni tutashind tenaSio mbaya uwezo wetu umeishia hapo, sioni namna tukienda kushinda bondeni
Hata Asec alipigwa 3 Taifa marudiano kwao uliona kilichotokea?ntakukumbusha tarehe 24 save my commentBasi Kwa Matokeo haya Mnyama Atapita tu.....Orlando Ya Kawaida Saaaaaaana.
Pongezi Mnyama.
Nenda na wewe akupe goliRefa kawapa goli
Hawaamini macho yao
Tujipange vizuriTutawapiga kwao FNB Stadium, wao sio malaika.
Nguvu Moja. Taifa Kubwa.
Kuna mkuu anaitwa ChickMagnet amenisaidia kuona mechi na kushuhudia mnyama mkali Simba akitafuna kichea na Maharamia wa Orlando. Mkuu Mungu akubariki sana. Nilikuw sina namna na kuona hii game.Dah leo ina maana nahadithiwa jinsi mnyama Simba anavyotafuna swala?