Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Ulienda Hospital?Mkuu nenda kaangalie katika Tv ya reception ya hospitali ili kama kikitokea chochote basi utapata msaada wa haraka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulienda Hospital?Mkuu nenda kaangalie katika Tv ya reception ya hospitali ili kama kikitokea chochote basi utapata msaada wa haraka sana
Ina maana wewe mkeo akiwa ni M-South huwezi piga bao ukilala nyumbani Kwao ukweni?Nisawa kwenye mpira lolote linawezekana ila tunajadili uhalisia wa mpira wetu.Sidhani kama simba ana mipango yakucheza mpira tofauti na anaouchezaga ugenini.kwahiyo mwenye advantage ya mechi ya mwisho niyule atakayekua nyumbani.ndo maana naona tulitakiwa kufunga magoli mengi zaidi ili kujihakikishia usalama zaidi.
Tutakutana wapi ...mkuu Kombe la Mapinduzi!?Makolo kwa heri tukutane mwakani
Safi sana..Haya ndo mambo tunayataka.Orlando Pirates wameingia rasmi kwenye lile kundi la akina Al Ahli, Zamalek, Kaiser Chiefs, AS Vita, Asec Mimosa, Mehala El Kubra, Berkane, Red Arrows, Gendarmarmerie, Arab Contractors, Al Hilal, Nkana, JS Soura, Plateau, El Mereik, FC Platinum, Accra Hearts of Oak, etc.