FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Nisawa kwenye mpira lolote linawezekana ila tunajadili uhalisia wa mpira wetu.Sidhani kama simba ana mipango yakucheza mpira tofauti na anaouchezaga ugenini.kwahiyo mwenye advantage ya mechi ya mwisho niyule atakayekua nyumbani.ndo maana naona tulitakiwa kufunga magoli mengi zaidi ili kujihakikishia usalama zaidi.
Ina maana wewe mkeo akiwa ni M-South huwezi piga bao ukilala nyumbani Kwao ukweni?
 
Orlando Pirates wameingia rasmi kwenye lile kundi la akina Al Ahli, Zamalek, Kaiser Chiefs, AS Vita, Asec Mimosa, Mehala El Kubra, Berkane, Red Arrows, Gendarmarmerie, Arab Contractors, Al Hilal, Nkana, JS Soura, Plateau, El Mereik, FC Platinum, Accra Hearts of Oak, etc.
Safi sana..Haya ndo mambo tunayataka.

Kuona namna wengi wamepata pumzi ya moto kutoka kwa Simba SC

Hii ndo tofauti ya Timu Kubwa na Timu Kongwe.
 
Back
Top Bottom