Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwenye mechi ya Marudiano Morrison hawezi cheza manake haruhusiwi kuingia SA mpaka miaka mitano iishe, very sad.Hii mechi imeonyesha forward ya simba ubunifu mdogo sana...
Heko tu kwa Morrison
Simba inabahatisha bahatisha kuliko washindani wake.Sababu ya kutolewa?
Bora umekuwa muwazi kuliko kuidanganya nafsi yako.Sio mbaya uwezo wetu umeishia hapo, sioni namna tukienda kushinda bondeni
Tukiingia Nusu fainali anakacheza mechi zote, uwezekano wa kubaki utakuwa mdogo sana.Inonga msimu ujao sijui kama tutabaki nae
Huyo ni utopolo mwenzio 😂Bora umekuwa muwazi kuliko kuidanganya nafsi yako.
Walipigwa kameme walikuwa wazito sanaJamaa Orlando pamoja na kufungwa moja walikuwa wanapoteza muda tu kuna kitu wanakisubiri huko kwao
Pole!Endelea kudharau mkuu, zidisha dharau kwa hali ya juu, nmegundua dharau zinatubeba. Kwaio dharau zaidi mkuu, hapo bado dharau zaidi.
Iamini timu yako tu hata kama dalili ya kutolewa kupo au laTayari tumetolewa.
Kwamba Kule Mtashinda? Maake Hapo Kwanza Ncheke [emoji1787]Ikitokea Simba wakawatoa Orlando, utopolo wataandika barua CAS kupinga matokeo.
Unaonaje ukienda kuwafunga wewe ?Simba wakienda bondeni nao watakua wanaruka ruka nakua na kitete kama hao jamaa walivyokua wanacheza kwa mkapa.simba ameshindwa kutumia vizuri uwanja wa nyumbani.goli moja ni dogo sana ukienda ugenini.dalili zakwenda kuzuia goli bondeni ni ndogo sana wanapaswa kujipanga haswa.