FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Kwa Mkapa sio hatoki mtu tu bali twahitaji goli nyingi kuanzia 3 ili twende na imani kubwa ya kusonga mbele S. Afrika. Viva mnyama, kesho tuko pamoja...
Unazani ile ni mtibwa?
 
Msako wa Leo dk20 za kipindi Cha kwanza Kona 69.Nguvu moja.
 
Senkyu ticha mbigi ofu ze bigesti
 
Utopolo mnajua sana kukimbilia kuanzisha mambo yasiyowahusu, halafu Simba SC wakianza kuhesabu magoli mnakimbia thread mnazoanzisha hamuweki update, acheni viherehere.
Wanaiponda simba kucheza robo fainali ila wanakimbilia mechi zao
 
Kama kawa kama dawa.... Siku iliyotarajiwa kwa siku nyingi imefika.... Mfalme wa Nyika leo anaunguruma toka kwa Mkapa...

Naona watu wameacha kuvaa suti, wanaenda kanisani na jezi za Simba...

Mungu Ibariki Simba...
Mungu waaibishe wake zetu Uto...

#NguvuMoja
 
Mechi sangapi na site gani itakuwa nzuri kuangalia online..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…