FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Mechi ilikuwa usiku sana ile ndo mana sikutokea mdogo wangu.

Hahahaaa. Pole sana naona walipata pa kupunguzia machungu ya zile πŸ–.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
walipunguza sana uchungu jana kisha wakashushia na maji kabisa..
walikuwa hawaonekani ghafla wakaanza kutoa vichwa Jana..
 
🎢🎢Mwanangu mpeni mbeleeeeko ambebe mwanaye..
Nasema mwali mpeni mbeleko ambebe. Mwanaye🎢🎢🎢🀣🀣🀣🀣
Waite Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…