Umeona eehh!!Mbona wako vizuri tu.kumbuka wako ugenini.Simba ndio wa ovyo kwasababu walitakuwa wapige goli za mapema.Wanacheza utafikiri wana magoli mengi bila kujua ako kamoja lolote linaweza kutokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin na phiri wanajiandaa huenda akatoka.Ngoma apumzike kwanza
Hata wakiomba watajijua 😁😁😁😁Kuna jambo tuelewane, ni faida kwa mpira wetu ikiwa Zote Simba na Yanga zitaenda hatua ya pili. Kufika huko tunahitaji match hizi za makundi tushinde. Hii sio Ligi kuu wala Azam Cup, hapa tunapigania maendeleo ya soka la Bongo. Tuache ushabiki wa kuwaombea leo eti Simba ipoteze kisa sisi jana tumepoteza. Tunasahau kuwa tumefika hapa kwa sababu ya mafanikio ya Simba katika miaka kadhaa nyuma? AGAIN TUACHE USHABIKI USIO NA TIJA TUSONGE WOTE.
Teh teh tehUmeona eehh!!
Huyo ngoma tulipigwaaa hakuna mchezaji hapoNgoma apumzike kwanza
Jamaa ni Yanga kindakindaki,, ni mzalendo haswaKama wewe ni shabiki wa Yanga kweli, nikupongeze kwa kutambua mchango wa Simba katka mashindano ya Kimataifa. Umeonyesha uzalendo wa kweli
Wako poa hawaa, ile ilikuwa ni game approach ya kutafuta draw tu. Huoni sasa baada ya kupigwa moja wamebadilikaHawa Asec nao wahovyo tu!🚮🚮
Nimesikia jamaa ni kocha na nusu naimani mambo yatakaa sawa chini yake.Taarifa za kocha mpya hujasikia?
Awapi hovyo tu!Wako poa hawaa, ile ilikuwa ni game approach ya kutafuta draw tu. Huoni sasa baada ya kupigwa moja wamebadilika
Saaizi wanatembeza bolii. Naogopa goli linaweza kurudi hiliiAwapi!