Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #61
Hapana kaka. Huyo ni dogo under 20Niende kibanda umiza sasa
Hatimaye Azamu wamepatwa.FawaNews - Your Home of Sport
Latest sports news , Eredivisie , Jupiler pro league , English Premier League , Formule 1 , Ralley , Moto GP ,Bundesliga, La Liga , NBA , NFL , NHL ... and all other european leagueswww.fawanews.com
Ikiisha watajuta sanaKwa mwendo walio nao Ken Gold watani mshindwe wenyewe leo.
pacomeHivi kuna mchezaji hapa NBC anayemzidi Ngoma kwa ufanisi wa pasi?
Ushindi lazima. Mtapewa hata tuta la bureSimba tumeidharau sana hii Game kikosi tulichopanga sio cha ushindi kabisa, hapa tusipokuwa makini tunafungwa au Draw.
Hakuna ndio maana kwenye zile 5 alikuwa anapiga pasi sanaHivi kuna mchezaji hapa NBC anayemzidi Ngoma kwa ufanisi wa pasi?
Kabisa yaani.Ikiisha watajuta sana
Nikionesha kwenye kibanda umiza kupitia link, mwenye makosa ni mimi ama ni mwenye link?Hatimaye Azamu wamepatwa.