FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

Kuna wakati huyu Fadlu kama ana mawenge vile. Timu ilikuwa inacheza kwa kasi, makosa machache, KenGold walikuwa wamejazana kwao wakilinda tu. Kulikuwa na dalili zote za kumpiga mkono. Kaenda kuivuruga sasa hivi tunakoswa koswa sisi. Kweli akili si nywele.
Sub zake huwa si za kiufundi sana, ni kama anaingiza na kutoa wachezaji ili tu wengine wacheze.
 

Attachments

  • Screenshot_20241218-182132.png
    Screenshot_20241218-182132.png
    1.1 MB · Views: 2
Alafu Wachezaji wanapoteza muda,ari ya kutafuta magoli zaidi ipo chini au sijui ndio wamezidiwa mbinu na Wapinzani hata sielewi.Tukija kukutana na timu kama Singida au Tabora roho si zitakuwa mikono.
Yes, ubaya wa woga ni woga wenyewe. Hizi timu dhaifu zikijaa kwenye mfumo unazipa za uso kwelikweli ili wengine wajenge woga.
 
Itewe, Godima, Kiwanja hadi Itumbi tunajiandaa kuikarabati timu yetu ya Ken Gold
Tajiri wenu si naskia alitimua wachezaji karibia wote walioipandisha daraja timu.

Hiyo ilikuwa mistake kubwa alifanya.

Msekwa, Godwin Chiwango, Ramadhan Alufan. Hawa ndio waliokuwa wanaupiga mwingi sana hapo Chunya miaka ya 2010-2013
 
Ubaya Ubwela!!

Mnyama Mkubwa, Simba Sports wanashuka dimbani kumenyana na Ken Gold kutoka Mbeya katika dimba la KMC majira ya Saa 10:00 jioni.

Ikumbukwe, Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyopata ushindi kwenye michuano ya kimataifa weekend iliyopita, baada ya kumnyoa Sfaxien 2-1.

Simba inatarajiwa kuendeleza ushindi katika safari yake ya kurejea kileleni. Wenyewe wanasema KMC Complex ni uwanja wa kujidai kwa Jean Charles Ahoua.

Mechi ni Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD na live updates zitawajia hapa!View attachment 3179543
Ikumbukwe, Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyopata ushindi kwenye michuano ya kimataifa weekend iliyopita, baada ya kumnyoa Sfaxien 2-1.📌❤🔨❤📌
 
[emoji881]
Ushindi ni lazima.
[emoji120][emoji120]
 
Kila la kheri Kalpana
Nilikua mbali kipenzi mtani...nadhani kuanzia kesho tena sitakua online...nitakua nadokoa dokoa...
Heri ya sikukuu ya christmass and happy new yr in advance..
Kuhusu Simba kwa sasa sina hofu kabisa na timu yangu..
Tena waliniboa why washindwe kufunga hata 7 za Horoya...
Ahahahahahaa
 
Back
Top Bottom