Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kabasi.Penati ya halali Kabisa hii
Simba 1-0 Ken Gold & UtopwinyoLzm walale na draw hap
Mkizipata nyie kataeniSimba bila penat hawatoboi,karibu Kila mechi
MUNGU tubariki ChunyaUbaya Ubwela!!
Mnyama Mkubwa, Simba Sports wanashuka dimbani kumenyana na Ken Gold kutoka Mbeya katika dimba la KMC majira ya Saa 10:00 jioni.
Ikumbukwe, Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyopata ushindi kwenye michuano ya kimataifa weekend iliyopita, baada ya kumnyoa Sfaxien 2-1.
Simba inatarajiwa kuendeleza ushindi katika safari yake ya kurejea kileleni. Wenyewe wanasema KMC Complex ni uwanja wa kujidai kwa Jean Charles Ahoua.
Mechi ni Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD na live updates zitawajia hapa!View attachment 3179543
Ni balaa sana huwa naogopa sana kuwa beki tulio la Leo limenikumbisha na Mimi nilicheza rafu kama hii kwenye mazoezi Leo asubuhi baharini na kusababisha penati 😀😀Kabasi.
Haya makosa mabeki wetu hawajifunzi tu.
Benchi tatizoIla Mzamiru🚮🚮
Kwa hiyo ulitaka mtu akiangushwa ndani ya 18 isiwekwe penati?Simba bila penat hawatoboi,karibu Kila mechi
Inawezekana huyo jamaa hajui Sheria za mpira 😀😀Kwa hiyo ulitaka mtu akiangushwa ndani ya 18 isiwekwe penati?
Pamoja na hayo uwezo wake mdogoBenchi tatizo