Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Kama mimi tu, siangalii mpira wenyewe.Kuna Makolokolo mmoja jana alituambia tusiwe na wasiwasi sisi MBUMBUMBU, Simba wameroga hadi kuchinja mapaka meusi uwanjani [emoji847]
Anyway mi ni Mpenzi Mtazamaji tu niko JF wala siuangalii mpira [emoji2]
Bado mapemaLeo ushindi ni lazima mwarabu atuache tu kwa kweli.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli, haina maana kwamba ni nzima.Saizi nisimsikie mtu anamsema vibaya Onana
Furaha TupuNasikia uwanja unaanza kujaa.
Bwana eeeeeh π₯Ήπ₯ΉDoooh wana yanga Leo kazi tunayo
Huku onana kule ayubu leo watu wataficha wapi sura zaiMashabiki mlio kuwa mnamponda Onana leo mtazificha wapi sura zenu!!! [emoji2960]
ππππ πππ€£ππ π π ππHata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli, haina maana kwamba ni nzima.
Unaanzaje kuangalia mipira ya Mipang'ang'a ilihali wewe ni Mwananchi kama si uwongo huu ni nini [emoji848][emoji23]Kama mimi tu, siangalii mpira wenyewe.
Ghafla[emoji23][emoji23][emoji23]watu wamepata NguvuNasikia uwanja unaanza kujaa.
Huyu hajaanza kucheza hapaKuwa na heshima mkuu, kuna utani ila sio huu.
Like serious unataka kumfanaisha Diara na Ayoub kwa mechi chache hizi wakati mwenzie kaipeleka timu fainali?