FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Wewe ni either sio mtu wa mpira au una chuki zako tu na Simba, ukweli nikua timu zetu zimepiga hatua Simba halkadhalika Yanga pia.

Wydad ndie finalist wa AFL na budget zao hivo vilabu zinajulikana ziko juu hatuzifikii hata nusu yake punguza chuki uinjoi football
Tatizo mapenzi ya timu huwa yanawaathiri sana ndio maana hamtaki kuusikia ukweli wowote unaokosoa timu unayoshabikia. Mnapenda kusikia mazuri tu na yale ya kuwapa matumaini.

Haya: Naiona Simba ikifika fainali na Onana lazima achukue MVP. KWA MOTO HUU WA SIMBA SIONI WA KUIZUIA ISIFIKE FAINALI.
 
Back
Top Bottom