FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Yanga wanakunywa supu za mizoga.... Wakula miguu na makwapa ya mbwa...
 
Nyie Makolo semeni wenyewe mapema, hii mechi mkifungwa itakuwaje?

Maana nyie ndio mabingwa wa hesabu za makundi, nyie ndio mnajua kucheza mechi za makundi CAFCL 🤣🤣
Vipi walikupa package yako ya Matusi ?
 
Sare 1 na ushindi mmoja Simba anafikisha points 9,na Wydad akishinda zote anakuwa na 9 hiyo kuwa sawa,kwa kanuni za CAF mkilingana points cha kwanza wanaangalia mlipokutana( head to head) mlitokaje, Wydad kamfunga Simba goli moja kule Morocco na Simba kamfunga Wydad goli 2 hivyo Simba anapita moja kwa moja hata
Woyoooooooh
 
Vile tunajisikia baada ya kumfanya Mwarabu akiri imani ya Mitume na Imani ya Nikea kwa pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1703050377268.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitakacho fanya Simba asiende robo fainali ni zile points 2 alizodondosha kule Botswana. Nionavyo mimi
 
Naona Assec mimosa anaongoza goli tatu bila na mpira umeisha.......Hii game ya Assec na Jwaneng Galaxy nilitamani sana matokeo yake yawe droo,ila naona galaxy anatupa wakati mgumu sana sie simba mechi ijayo na assec ni kushinda tu na sio kudroo nao
Ushindi wa Asec ndio umeturahisishia Kwa taarifa yako
 
Tuambie Madeama ni ya ngapi kwenye mkeka wa caf kwa klabu hapa afrika. Tuambie wydad ni ya ngapi kwenye mkeka huo pia halafu endelea kuota ndoto ya mchana!
Tunaizungumzia Wydad ya sasa. Mbona huitaji Galaxy ni ya ngapi kwenye mkeka wa Caf na imeifunga Wydad. Ukweli utabaki wazi kuwa Wydad ya sasa ni vbonde, hivyo msijione miamba sana kuwafunga
 
Back
Top Bottom