Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Kawafungeni na nyie sasa, shida wabongo wamezoea kufungwa tu na timu pinzani, ila timu zetu zikoshinda watu hawataki kuamini kama soka letu linapanda kwa kasi.Tunaizungumzia Wydad ya sasa. Mbona huitaji Galaxy ni ya ngapi kwenye mkeka wa Caf na imeifunga Wydad. Ukweli utabaki wazi kuwa Wydad ya sasa ni vbonde, hivyo msijione miamba sana kuwafunga
Kwa hyo kwenye records wataaindika walifungwa kwa sababu walikua vibonde? Record is record tu