Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Jwaneng Galaxy muda wake wa kusumbua umeisha, hapa Tz ni lazima akae.Naona Assec mimosa anaongoza goli mbili bila na mpira umeisha.......Hii game ya Assec na Jwaneng Galaxy nilitamani sana matokeo yake yawe droo,ila naona galaxy anatupa wakati mgumu sana sie simba mechi ijayo na assec ni kushinda tu na sio kudroo nao