FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Toa sureboy na mamnyeto! Weka muhadhir na ki Aziz, hapa ndo ntaona kama Kuna tactical changes zozote
Kwa hiyo hapo sehemu ya Mwamnyeto atacheza nani kati ya Ki na Mudathir? Au switching itakuwaje?
 
Kwingineko duniani:

Arsenal wameanza kukata moto kwenye safari ya ubingwa, Mancity wanafukuza mwizi kimyakimya.
Nlkuwa nafatilia hii mechi,asee nmefurahi saa haya majambawazi kubanwa mbavu leo..
 
First hafu tumeshtukizwa,tukawa tunaweweseka ngoja tuone sekandi hafu.......tukipata goli kabla ya dk 60 game itakuwa ngumu zaidi ikivuka 65 .....Mikia watakuwa na nafasi ya kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…