Natena wiza
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 428
- 676
Kwamba kwenye mechi za Simba Sc na Yanga siku zote ni draw tu?Hii mechi itaisha draw
Mnakuwa wageni wa mechi ya simba na yanga
Game itaishia draw tu
Ova
Sanaaaaaa [emoji23]
Dakika ya ngp? Kiongozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aziz Ki anakosa goli akibaki na kipa
Huyu kipa ni noma kwa kweliKongole kwa kipa wa Simba kwa kuwahi kutoka na kulibana goli na hatimae Aziz Ki kupaisha
Hii comment imenichanganya we timu gani?Dah leo Simba wanafuturu vyura.
Wanaingiza moriii kichaa waoDakika ya ngp? Kiongozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu refa kadi kwa wachezaji wa Simba wanaocheza rafu mbona hatoi kadi? Aisee
Wakati mwingine lazima tusimame kwenye ukweli my dear sissy. Leo mchezo haukuwa upande wetu kuamzia kipindi cha kwanza.Kaka yangu mpaka wewe umekubali [emoji23]
Subiri mpira uishe ndo uandike udwanzi wakoUtopolo kipindi cha pili si ndio hiki?
Ndio mjue Mgunda yuko benchi, Robertinho yuko kazini.
Mpira bado mkuu usiwazeWakati mwingine lazima tusimame kwenye ukweli my dear sissy. Leo mchezo haukuwa upande wetu kuamzia kipindi cha kwanza.