Manula kabaki jina hakuti viwango vya huyu angedaka Leo tungeshafungwa mengiBig NO !
Manula hakuna wa kumfananisha naye Ligi hii 2023
Cc. AnalyseAposto kuna muujiza huku π
Yuko vizuri mara mia kamzidi manulaHuyu golikipa Ally salim tayari keshamnyang'anya namba Manula,kikubwa ajikinge na misumari.
Naunga mkono, huyu kipa nomaaNashauri huyu kipa number tatu wa Simba awe na number moja ni mzuri kuliko Aishi manula,manula angedaka Leo Simba ingekuwa ishachakazwa
BwahahahaaaaaaVice versa is true
Japo kwa mbaali naiona Ngoma Draw
Tunazika au tunachoma?85' Simba 2-0 Yanga
Kufungwa au kutofungwa katika mechi ya Yanga hakuwezi kukawa kigezo cha kuamua uboraManula kabaki jina hakuti viwango vya huyu angedaka Leo tungeshafungwa mengi
πππππVice versa is true
Japo kwa mbaali naiona Ngoma Draw