eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
GEITA GOLD 3 MAKOLO 2. HAWA MAREFA, YAANI UNAFUTA GOLI 2 ZOTE?Geita watajua hawajui...
Kwa mpira huu sintoshangaa nikisikia 4G imewahusu.Next stop, Lusaka.
Kama Ni mpenzi wa mpila, a ha kufuatilia soka la bongo utaumia kila siku haswa usiwe mpenzi wa yanga or simbaSijakataa ila kwa mustakabali mzuri wa afya yangu, acha iwe hivyo tu
Mkuu ni kweli Referee wanasoma, na wanajua namna ya kuzitafsiri sheria zote za mpira wa miguu,Urefa unasomwa. Hiyo ni tafsiri yako. Refa alikua eneo la tukio na alitafsiri alivyoona.
Wewe Topolo hukuona refa alivyomalazimisha.penati?Namungo walifunga likakataliwa we kolo?
Asilimia kubwa sana ya watanzania wapo kati ya pande mbili kama sio mpenzi wa timu ya yanga basi ni simba. Hata waamuzi kwavile ni watanzania hawa hawa wenye chembe chembe hizo hizo, wanazidiwa na mahaba ya timu zao kiasi kwamba wanafanya maamuzi kuzinusuru timu zao. Mfano wa mechi ya Namungo vs Yanga ni kama mwamuzi alikuwa anasubiria kwa hamu mchezaji wa yanga adondeke ili afunike tuta.Ni makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refa
Football ni mchezo wa hadharani.Hajaguswa hata kwa uzi wa nguo au hata upepo. Utasemaje ni faulo.?
Mwenye replay jama aiweke humu.
Ahsante boss ahsante.Football ni mchezo wa hadharani.
Na wewe liite TopoloKolo mama yako
Mkuu ni kweli Referee wanasoma, na wanajua namna ya kuzitafsiri sheria zote za mpira wa miguu,
Lakini mimi nimeandika kutokana na nilichokiona, ingekua labda Kapombe ameguswa hata kidogo nisingekua na cha kusema, lakini kwa pale Kapombe hakukuguswa hata chembe, sasa ni utashi upi umetumika mpaka kusema ni faulo ndugu yangu
Ukiupenda mpira kabla ya timu zetu, utakubali leo tumebebwa.
Anyway kapombe amekuwa mchezaji wa kawaida, Gadiel Michael sijui kwa nini kakaa humo hadi tamati.
Me nshaacha kufuatilia mpila wa bongo huo mda ntatafuta Jambo la kufanya hata kucheza PS ikiwezekana.Ukiupenda mpira kabla ya timu zetu, utakubali leo tumebebwa.
Anyway kapombe amekuwa mchezaji wa kawaida, Gadiel Michael sijui kwa nini kakaa humo hadi tamati.
Ni kweli hilo sipingi, ila sio wote walio ona kama wewe siku hiyo, wapo walio ridhishwa na maamuzi ya refaNamungo na Yanga ilichezeshwa na Robot? Wenye akili tulisema marefa wa Tanzania hata wasipohongwa ni wabovu kwa asili, lakini kila ikitokea upande wa pili mnakimbilia hongo.
ndo mkeka wako ulivyokua?GEITA GOLD 3 MAKOLO 2. HAWA MAREFA, YAANI UNAFUTA GOLI 2 ZOTE?
ikiwa hivi mbona yanga pale juu wanashukaNaifunga hii mada sasa
Namungo 1 - 0 Yanga
Simba 2 - 2 Geita gold
Haya sasa utoo furahia
π€π€π€π€π€π€π€π€
Safi sana hii,ngoja waje waone wakuwashie moto.Naifunga hii mada sasa
Namungo 1 - 0 Yanga
Simba 2 - 2 Geita gold
Haya sasa utoo furahia
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Kweli mkuuAsilimia kubwa sana ya watanzania wapo kati ya pande mbili kama sio mpenzi wa timu ya yanga basi ni simba. Hata waamuzi kwavile ni watanzania hawa hawa wenye chembe chembe hizo hizo, wanazidiwa na mahaba ya timu zao kiasi kwamba wanafanya maamuzi kuzinusuru timu zao. Mfano wa mechi ya Namungo vs Yanga ni kama mwamuzi alikuwa anasubiria kwa hamu mchezaji wa yanga adondeke ili afunike tuta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo mkeka wako ulivyokua?
Ni mchezo wa kuanao makini sana mwamuzi kafanya kosa la kibinadamu tunamuonya mwisho leo asirudie tenaFootball ni mchezo wa hadharani.