FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

Urefa unasomwa. Hiyo ni tafsiri yako. Refa alikua eneo la tukio na alitafsiri alivyoona.
Mkuu ni kweli Referee wanasoma, na wanajua namna ya kuzitafsiri sheria zote za mpira wa miguu,

Lakini mimi nimeandika kutokana na nilichokiona, ingekua labda Kapombe ameguswa hata kidogo nisingekua na cha kusema, lakini kwa pale Kapombe hakukuguswa hata chembe, sasa ni utashi upi umetumika mpaka kusema ni faulo ndugu yangu
 
Ni makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refa
Asilimia kubwa sana ya watanzania wapo kati ya pande mbili kama sio mpenzi wa timu ya yanga basi ni simba. Hata waamuzi kwavile ni watanzania hawa hawa wenye chembe chembe hizo hizo, wanazidiwa na mahaba ya timu zao kiasi kwamba wanafanya maamuzi kuzinusuru timu zao. Mfano wa mechi ya Namungo vs Yanga ni kama mwamuzi alikuwa anasubiria kwa hamu mchezaji wa yanga adondeke ili afunike tuta.
 
Mkuu ni kweli Referee wanasoma, na wanajua namna ya kuzitafsiri sheria zote za mpira wa miguu,

Lakini mimi nimeandika kutokana na nilichokiona, ingekua labda Kapombe ameguswa hata kidogo nisingekua na cha kusema, lakini kwa pale Kapombe hakukuguswa hata chembe, sasa ni utashi upi umetumika mpaka kusema ni faulo ndugu yangu

Ukiupenda mpira kabla ya timu zetu, utakubali leo tumebebwa.

Anyway kapombe amekuwa mchezaji wa kawaida, Gadiel Michael sijui kwa nini kakaa humo hadi tamati.

Me nshaacha kufuatilia mpila wa bongo huo mda ntatafuta Jambo la kufanya hata kucheza PS ikiwezekana.
 
Kikubwa point tatu.
Simba inamarefa wake na Utopwenga inamarefa wake,kila mtu atumie mbinu anazojua ili apate point tatu.atakae taka haki afe ili aendembinguni huko akapate haki.
 
Namungo na Yanga ilichezeshwa na Robot? Wenye akili tulisema marefa wa Tanzania hata wasipohongwa ni wabovu kwa asili, lakini kila ikitokea upande wa pili mnakimbilia hongo.
Ni kweli hilo sipingi, ila sio wote walio ona kama wewe siku hiyo, wapo walio ridhishwa na maamuzi ya refa

Hii ya leo ni bahati mbaya kwanza ilikua usiku refa hakuweza kuona vizuri tofauti na ile ya yanga iliyofanyika mchana
 
Asilimia kubwa sana ya watanzania wapo kati ya pande mbili kama sio mpenzi wa timu ya yanga basi ni simba. Hata waamuzi kwavile ni watanzania hawa hawa wenye chembe chembe hizo hizo, wanazidiwa na mahaba ya timu zao kiasi kwamba wanafanya maamuzi kuzinusuru timu zao. Mfano wa mechi ya Namungo vs Yanga ni kama mwamuzi alikuwa anasubiria kwa hamu mchezaji wa yanga adondeke ili afunike tuta.
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom