FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

watoto wadogo wanaivimbia simba wanacheza kwa kukamia ili kila mmoja aonekane na benchi la simba kwa tumaini la kuwa watasajiliwa dirisha dogo
Unataka wapinzani wachezaje ili ionekane haujakamiwa?.

Maana usipopata matokeo umekamiwa au GSM katoa Mil15.

Football is fair game, sometimes unatakiwa kumpa credits opponent.
 
Kikubwa point tatu.
Simba inamarefa wake na Utopwenga inamarefa wake,kila mtu atumie mbinu anazojua ili apate point tatu.atakae taka haki afe ili aendembinguni huko akapate haki.
Shughuli tukitoka nje sasa ndio unashangaa mwamba wa Lusaka hata kwenye bechi la akiba anakosa namba, kumbe ukweli ni kwamba ametoka kwenye ligi dhaifu.
 
Ukiupenda mpira kabla ya timu zetu, utakubali leo tumebebwa.

Anyway kapombe amekuwa mchezaji wa kawaida, Gadiel Michael sijui kwa nini kakaa humo hadi tamati.
Your game is fair play[emoji122][emoji122]
 
Unataka wapinzani wachezaje ili ionekane haujakamiwa?.

Maana usipopata matokeo umekamiwa au GSM katoa Mil15.

Football is fair game, sometimes unatakiwa kumpa credits opponent.
Nimetoa credit hizo mapema hata kabla ya mechi kuisha, kipindi cha kwanza nilipingana na statistics zilizosema simba amepossess kwa asilimia 53 kuliko geita
 
Vuta picha goli Kama lile ingekua Simba ndio wanasawazisha alafu linakataliwa GSM wangetukanwa kiasi gani!!
 
ikiwa hivi mbona yanga pale juu wanashuka
Kuna watu wanazungumzia kuwa na ile offside ni uongo ni kwamba Geita walipata goli halali. Mwenye video ya replay atusaidie kutuwekea
 
Naifunga hii mada sasa

Namungo 1 - 0 Yanga

Simba 2 - 2 Geita gold

Haya sasa utoo furahia
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Kuna watu wanazungumzia kuwa na ile offside ni uongo ni kwamba Geita walipata goli halali. Mwenye video ya replay atusaidie kutuwekea hapa
 
Kuna watu wanazungumzia kuwa na ile offside ni uongo ni kwamba Geita walipata goli halali. Mwenye video ya replay atusaidie kutuwekea
Achana nao hao wanashindwa hata kuona mazinhira ya uwanjani leo yalikuwaje
 
Dirisha la usajili lifunguliwe tu BOCCO ni wa kupelekwa Mtibwa hata bure.
Tumpe heshima yake Bocco mkuu.

Timu yetu haitengenezi chances nyingi lakini pia haiko Compact kwenye midfield.

After all Bocco huwa anaanza ligi slow baadae ana gain momentum katikati ya msimu.

Wewe umeona second half timu imetengeneza chance yoyote??
 
Simba wanatakiwa kuingia studio na kutoa kibao cha rose muhando nibebe remix hakuna haja ya wao kucheza soka maana wamejaza wakimbizi na wauza mkaa
 
Wakifanyiwa Simba ni makosa ya kibinadamu.....kweli kunya anye kuku, akinya bata ameharisha
Jana kama hivi ulikua unaniambia nateseka, vipi leo hii wewe ukiambiwa unateseka utajiskiaje?
 
Ni makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refa
ama kweli nyani haoni kundule
Simba wanatakiwa kuingia studio na kutoa kibao cha rose muhando nibebe remix hakuna haja ya wao kucheza soka maana wamejaza wakimbizi na wauza mkaa
 
Ni makosa ya kibinadamu yanaweza kumkuta mtu yeyote tumsamehe refa
ama kweli nyani haoni kundule
Simba wanatakiwa kuingia studio na kutoa kibao cha rose muhando nibebe remix hakuna haja ya wao kucheza soka maana wamejaza wakimbizi na wauza mkaa
 
Ni kweli hilo sipingi, ila sio wote walio ona kama wewe siku hiyo, wapo walio ridhishwa na maamuzi ya refa

Hii ya leo ni bahati mbaya kwanza ilikua usiku refa hakuweza kuona vizuri tofauti na ile ya yanga iliyofanyika mchana

[emoji1787][emoji1787]
 
Jana kama hivi ulikua unaniambia nateseka, vipi leo hii wewe ukiambiwa unateseka utajiskiaje?
Mimi ni simba damu damu
Lakini huu mtindo wa MO kuhonga marefa sipendi kiukweli
Hataki kukubali yanga wako vizuri zaidi yetu. Kwanza katuletea wachezaji wa bei rahisi..

Tarehe kumi na moja tunafungwa tena bila kuhonga hatushindi..
 
Kwani yanga huwa hawabebwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…