NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Unataka wapinzani wachezaje ili ionekane haujakamiwa?.watoto wadogo wanaivimbia simba wanacheza kwa kukamia ili kila mmoja aonekane na benchi la simba kwa tumaini la kuwa watasajiliwa dirisha dogo
Maana usipopata matokeo umekamiwa au GSM katoa Mil15.
Football is fair game, sometimes unatakiwa kumpa credits opponent.