Simba navyojua atajifungisha kwa makusudi kabisa ili amafate demu wake kule Kimara Bonyokwa mshindi wa tatu.Simba akifungwa tu! Anakutana na Yanga
Unapenda kuanzisha nyuzi afu hutoi updates[emoji23]
Nasikia kuna Litimu limepigwa tisa huko......!
Wanarudi na boti ya saa ngapi Gongowazi?
Umeshameza wembe huko uliko?Final ni yanga na namungo
Hutaki meza wembe
Hatufanyi huo ujinga sisi lengo letu ni kucheza na team iliyo bora, na sio siri kuwa Azam ni bora kuliko Utopolo.Simba akifungwa tu! Anakutana na Yanga