FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

hichi kikosi cha leo Mr.Tikitaka hataki masihara leo [emoji39][emoji39]
 
Ilikuwa ni offise azawaizi ilikuwa penalty pale
 
mshika kibendera ana wivu kwan ungeachia ungepungukiwa na nn
 
Mpira una stimu namna hii, sio butua butua tu ilimradi uonekane umeupiga mpira
 
Back
Top Bottom