FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

wanataka kumuumiza sasa aisee wajomba nchumali chezeni mpira
 
kuna vipaji vya aina mbili moja cha kuzaliwa nacho mbili cha darasani unafundishwa sasa huyu Sakho huyu kipaji chake sio kile cha kubumba
Kipindi kile hakuaminiwa tu sasa ameaminiwa anatoa dozi na kuwapa furaha wana msimbaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…