FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Hiyo ni kadi refa jamaa kacheza faulo ya kusud kabisa unatumiaje mkono kumpiga mwenzako hivyo wakat mpira unachezwa mguuni
 
Huyu makame anavyoweka mikono yake unaweza kudhani anacheza mdako.
 
Dah mechi Kali kabisa mpira safi sana burudani yakutosh kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…