FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Kibu tu ndio hana vi vitu vitu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
 
Hili ndio shambulizi la namungo lililokuwa na hatari katika dakika za mwisho wa kipindi cha pili

 
Yaani sisi Simba SC ni mafundi sana wa mpira, mpaka tunaboa yaani..!

Tunazifundisha Timu za Tanzania namna ya kusakata kabumbu yaani.
 
Back
Top Bottom