FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Pira leo kwel tmeceza, Tuongeeze kimoja watoto watulie
 
Hawa jamaa wa kidimbwini wanashinda kwa chiplichupli tu.
Wakichezeshwa na Refa makini bila bahasha ndio unawaona jinsi walivyo.
 
Hii ndo simba sio ile timu imejaaa wanafiki .....wazee wa The return of the champions mimavi ,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lile bwabwa leo naona lina hali mbaya sana sijui litawadanganya nn tena mazuzu fc
 
Kuna tetesi zimeanza kuenea kwamba Azam inataka i-resign kwa kumuachia simba ubingwa ili kukwepa kichapo kwenye fainali
 
Hii soka tunayoipata hapa ni zaidi ya mechi za AFCON huko Cameroon
 
yaan wakiingia tu ndan ya dakika 15 goli au magoli yapatekane biriani litaendelea baada ya hapo
 
Kipindi cha pili kimeanza

Matokeo bado ni 1 kwa bila, simba akiongoza goli ambalo lilifungwa dakika ya 15 na Meddie kagere
 
yaan urefu wa Wawa angepewa Onyangi ingekuwa bomba sana jamaa hatumiagi kabisa kimo chake ipasavyo
 
Back
Top Bottom